Wanaabudu sanamu tuKatoliki sio kanisa la mchezomchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaabudu sanamu tuKatoliki sio kanisa la mchezomchezo
Kanisa la kweli si kazi ya kumuachia Mungu, lilikuwepo na lipo whether unalipenda au hulipendi ....Kanisa linapimwa kwa kutumia nini mkuu?
Wewe bila shaka utakua ni mpumbavu ambaye huelewi kitu.
Wewe una uwezo wa kulipima kanisa. Mwenye uwezo ni Mungu peke yake.
Hivyo hiyo kazi mwachie Mungu. Mungu ndiye anayejua ni yepi makanisa ya kweli. Yale yaliyo jengwa kwa msingi wa Yesu Kristo Mungu wetu wa kweli.
Sio ngozi ni ngoma..Naona mambo ya muwamba ngozi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha ubishi,huwezi linganisha Katoliki na hao wacheza porn kina Gwajima.
Ndugu yangu maisha ya kiroho ni zaidi ya kukemea mapepo.Maisha ya kiroho haimaanishi ni vita na mapambano muda wote.Bali ni safari inayohitaji ustahimilivu na kushikana mkono katika kuiishi imani ya Kristu katika kila nyanja ya maisha yetu hapa duniani ili hatimaye tuufikie wokovu.Pole kwa mafundisho yasiyo sahihi uliyofundishwa.Imani ya makanisa ya Kikatoliki, na makanisa yote ya kiprotestanti k.v Lutheran, Anglikana, Moravian, Menonite, nk ni makanisa yanayomwabudu Mungu kwa kuishia kwenye nafsi. Nafsi ya mwanadamu imeundwa na components kuu tatu UTASHI, AKILI, na HISIA. Ibada zao zote huwa hazivuki hapa na kuingia rohoni.
Ibada zao zimekaa kiakili-akili, na kihekima-hekima tu,,. Ndio maana utakuta mtu anaitwa askofu mkuu ila hawezi kukemea viumbe vya rohoni kama mapepo/majini, ... kwa sababu roho hizi chafu hukemewa kwa namna ya rohoni.
Ninapoyasema haya sio kwamba ninamsapoti Gwajima, ila lipo Kanisa la kweli (sio Gwajima, na sio Katoliki). Ukitaka kulijua nitafute.
Jesus is Lord .
Kama ilo umeligundua leo bc pole, Romani Catholic, wasabatho, Rutheran, na Islamic hizo ni taasisi za za watu kwa ajili ya Mungu. Makanisa ya kirokole karibia yote ni taasisi inayo simamiwa na mtu. Ndo maana unasikia vitu hivi, kanisa la Kakobe, kanisa la Gwanjima, kanisa la Marisa nk. Alafu wanajiita mara manabii mara maasikofu. Kamuulize Gwanjima nani alimsimika uasikofu. Wenyewe vyeo wanajipa tu.Imani ya makanisa ya Kikatoliki, na makanisa yote ya kiprotestanti k.v Lutheran, Anglikana, Moravian, Menonite, nk ni makanisa yanayomwabudu Mungu kwa kuishia kwenye nafsi. Nafsi ya mwanadamu imeundwa na components kuu tatu UTASHI, AKILI, na HISIA. Ibada zao zote huwa hazivuki hapa na kuingia rohoni.
Ibada zao zimekaa kiakili-akili, na kihekima-hekima tu,,. Ndio maana utakuta mtu anaitwa askofu mkuu ila hawezi kukemea viumbe vya rohoni kama mapepo/majini, ... kwa sababu roho hizi chafu hukemewa kwa namna ya rohoni.
Ninapoyasema haya sio kwamba ninamsapoti Gwajima, ila lipo Kanisa la kweli (sio Gwajima, na sio Katoliki). Ukitaka kulijua nitafute.
Jesus is Lord .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wa gwajima,mlima wa moto,efatha,mzee wa upako,ni waganga njaa tu,Askofu wa kikatoriki,ni sawa na kusoma,shahada,Masters,PHD,mpaka level ya uprofesa,sasa hawa wengine,unatoka,form4,unapiga kacheti ka theorogy,tayari,nabii,mara paaap,mtume!!nabii mkuu!
Hebu sema panua panua panua ...tanuka sasaaaaa " gwajima"Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
KUOKOKA NI LAZIMA. USIPOOKOKA UTAANGAMIA KWENYE MOTO WA MILELE. SAA YA WOKOVU NI SASA.Kama ilo umeligundua leo bc pole, Romani Catholic, wasabatho, Rutheran, na Islamic hizo ni taasisi za za watu kwa ajili ya Mungu. Makanisa ya kirokole karibia yote ni taasisi inayo simamiwa na mtu. Ndo maana unasikia vitu hivi, kanisa la Kakobe, kanisa la Gwanjima, kanisa la Marisa nk. Alafu wanajiita mara manabii mara maasikofu. Kamuulize Gwanjima nani alimsimika uasikofu. Wenyewe vyeo wanajipa tu.
Ndugu yangu kwanza nikupe pole kwa mafundisho yasiyo sahihi uliyofundishwa.Roho Mtakatifu hahubiriwi kwa kupayuka payuka.Ndiyo maana kanisa linasistiza mafundisho ya msingi katika kumjua roho mtakatifu.Tofautisha hulka za mtu binafsi na roho mtakatifu.roho mtakatifu hutujia na kujidhihirisha kupitia mapaji yake saba.Kasome biblia uimalize yote ukianza kuhubiri hutohubiri kwa kuwabembeleza watu, utahubiri kwa nguvu zote tena kwa sauti kubwa. usije ukadhani wanapenda kuhubiri vile yule ni Roho mtakatifu akisha jaa unajikuta unahubiri kwa nguvu.
Huyo ni Yesu yupi? Au yule wa Karemii Congo?Acha dhambi acha huo uzinzi acha kujipa moyo, mahubiri ya taratibu kama yale watu hawawezi kuacha dhambi. Na ndio maana ukisoma biblia kuna muda Yesu alikua anakemea anapowaombea watu na anapo wahubiria. Kuna muda alikua anakua mkali.
Ulichelewa sana kuijua tofauti hiyo. Hawa wanapita shuleni kwa miaka mingi na kuchujwa sana. Hao wa kiroho wa kujipa uaskofu na kujipandisha wenyewe bila vigezo hawawezi kushindanishwa na wa kanisa katoliki!!?Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Siku utakapopata neema ya kuupokea wokovu, utagundua kuwa muda wote tunawindwa na adui. Ukiokoka unakuwa umetangaza vita. Maadui wakuu watatu ni:Ndugu yangu maisha ya kiroho ni zaidi ya kukemea mapepo.Maisha ya kiroho haimaanishi ni vita na mapambano muda wote.Bali ni safari inayohitaji ustahimilivu na kushikana mkono katika kuiishi imani ya Kristu katika kila nyanja ya maisha yetu hapa duniani ili hatimaye tuufikie wokovu.Pole kwa mafundisho yasiyo sahihi uliyofundishwa.
Ukatoliki ni UPAGANI wa Dola ya Rumi ulioingia kwenye Ukristo kijanja kijanja, pamejaa ibada za sanamu, ibada za kuombea wafu, na kila aina ya upagani. Sheria zao ni zaidi ya Biblia, Papa ni zaidi ya Neno la Mungu (Biblia). NI HATARI ZAIDI YA HATARI!Roman Catholic ni dhehebu duniani linaloamini mtu hata akiwa jambazi akafa na ujambazi wake waliobaki wakimwombea anaenda mbinguni, madhehebu mengine yote hayaamini katika hilo,yanaamini mtu hutengeneza njia yake kabla hajaondoka
Ndugu yangu kwanza nikupe pole kwa mafundisho yasiyo sahihi uliyofundishwa.Roho Mtakatifu hahubiriwi kwa kupayuka payuka.Ndiyo maana kanisa linasistiza mafundisho ya msingi katika kumjua roho mtakatifu.Tofautisha hulka za mtu binafsi na roho mtakatifu.roho mtakatifu hutujia na kujidhihirisha kupitia mapaji yake saba.
1. Hekima
Ni kipaji cha Roho Mtakatifu cha kutusaidia tupende na kufurahia mambo ya Mungu.
2. Akili
Ni mwanga wa Roho Mtakatifu wa kutusaidia tumjue zaidi Mungu na ukamilifu wake pamoja na kuelewa ufunuo wake.
3. Shauri
Ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotuelekeza kuchagua siku zote mambo yenye kufaa zaidi kwa sifa ya Mungu na kwa wokovu wetu.
4. Nguvu
Ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotutia moyo wa kushika sana amri za Mungu na mambo ya utumishi wake tusiogope watu wala matukano wala mateso wala kufa.
5. Elimu
Ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotutia maarifa ya mambo ya ulimwengu huu, kwa kutambua mapungufu yake pamoja na mitego, werevu na udanganyifu wa shetani akitujaribu mwenyewe au kwa kupitia vitu kama watu.
6. Ibada
Ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotufanya tumpende Mungu kama Baba yetu mwema na watu wote kama ndugu; kwa msingi huo kutimiza utumishi wa Mungu na yote yale yenye kumpa Mungu sifa na heshima.
7. Uchaji wa Mungu
Ni kipaji cha Roho Mtakatifu kinachotutia hofu ya kumchukiza Mungu kwa dhambi kama vile mtoto mwema aogopavyo kumtia baba yake uchungu.