Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Nchi haina toshio la ugaidi wala uasi lakini jeshi la polisi bado linaongoza misafara kishamba sana
 
Polisi mmeshauriwa na sehemu ya kwenda kujifunza namna ya kuongoza misafara sio mkaze shingo kwa kupoteza muda wa watu bure
 
Nchi maskini zitadumu kuwa maskini, sababu kuu ni mawazo ya kimasikini ya viongozi wake. Mawazo ya kimasikini yanaongozwa na kutaka kuabudiwa, kupewa sifa kupitiliza. Misafara ya viongozi wakuu wa Tanzania inakuwa na magari zaidi ya 30. Shughuli alipo kiongozi wa nchi eg rais, mkuu wa mkoa au wilaya viongozi wote wa kamati ya ulinzi na usalama huandamana nao. Wote wanahitaji posho toka kwa mlipa kodi maskini. Muda wa masaa zaidi ya 4 barabara hufungwa kupisha misafara ya wakubwa. Wanajua, na wanafurahia mateso kwa wananchi.
 
Unachokisema ni kwel kbsa kina kela na kinaoteza mda sana unakuta asubui watu wanawai makazini af kiongozi anapita inabidi watu wangoje ad masaa 2 ilikua saa 2 unawai kazn mwisho wa sku unafika kazn saa3,4 inaboa na inakela

Ila mleta mada naomba niulize kitu iv sisi watanzania/ waafrika ni wastaarabu km hao wazungu unaotutolea mfano tusilaumu tuu bila ya kutambua pia mapungufu yetu watu weusi

Imagine leo serikal imepiga marufuko uwo utaratibu turuusiwe kupita ata km kiongozi anamsafara
Kwa jinsi tusivyo wastaarabu tutapiga mkasi ata msafara wa raisi
Tutaovertake ata misafara ya wakubwa
Au ndo ile msafara wa kiongozi unapita kati kati ya msafara unaona gar ya mwanachi .
Bado ujaongelea bodaboda na uendeshaji wao sindo watagonga iyo misafala na kuiovertake hovyo
Kuna vtu vingne tuache tu kuraumu ebu tuanze kwanza sisi km wananchi kubadilika na kujieshimu na serikal itatuheshimu pia
 
Back
Top Bottom