Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #121
Karibu bandiko hili uone jinsi ninavyoifagilia CCM!. Katika bandiko hili, nafagilia msafara wa kiongozi wa CCM.Pascal unazi wa ccm umekumaliza kabisa!
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu bandiko hili uone jinsi ninavyoifagilia CCM!. Katika bandiko hili, nafagilia msafara wa kiongozi wa CCM.Pascal unazi wa ccm umekumaliza kabisa!
Time is makangabilityTime is making ability!
Empty scull, poor you...Sidhani kama in sawa kumlaumu Mkuu wa Polisi na kumtaka kupeleka Polisi Sweden kujifunza zingatia hili labda unapotaka kulinganisha;
Sweden per capital income > 50 000 USD.
TZ yetu per capital < 2 000 USD
Sasa unawezaje kulinganisha hizo nchi mbili, Uchumi wa Sweden > 500 Billions USD idadi ya watu 10 million vs TZ yetu ukubwa wa uchumi < 80 Billions Idadi ya watu > 45 million.
Hivyo majibu yote yako hapo na hakuna kitu IGP atafanya usifikiri hawajui cha kufanya, wanajua ila wana limitations wakati huo huo ni jukumu lao pia kuhakikisha Usalama wa Viongozi, wanaweza hata wakawasafirisha kwa helikopta lkn who pays? Unaongelea nchi ambayo hata magari ya Polisi tunapewa msaada na hata kuweka mafuta tu wakati mwingine ni ishu, ...
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.
Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.
Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.
Msafara wa magari zaidi ya 15, ulipopita, umepita kwa mwendokasi wa speed 150 kph, na umbali wa Bagamoyo Mbezi Beach, ni appx 50km, hivyo kwa mwendokasi huo, msafara unatumia just 20 minutes, hivyo akina sisi tumesimamishwa huku majiani, kabla hata msafara haujafika Bagamoyo!.
Nimeelezwa kinachochelewesha misafara ya viongozi ni wananchi kujitokeza kwa wingi kufunga barabara kuzuia msafara ili wamlaki na wamsalimie na kumpa kero zao kiongozi. Ma kwa vile viongozi wetu ni watu wa watu, watu wakikusanyika kumlaki kiongozi kwenye msafara unaokwenda speed 140kph mbele una escorts 3 as advance, then kuna sweeper, halafu wananchi wanajotokezea tuu kuusimamisha msafara ili wamlaki na wamsalimie kiongozi, na kweli msafara at 140kpm unasimama ghafla kiongozi asalimiwe, huku sisi tukisubirishwa!. Siulizi if its true true msafara unasimamishwa ghafla na wananchi wenye upendo na viongozi wao ili wamlaki, bali nauliza tuu is this fair?.
Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda, wanafanya nini?.
Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.
Misafara ya wenzetu kwa long trips kama Dar -Bagamoyo, kunakuwa na pikipiki 5 kwenye msafara, piki piki moja mbele, pikipiki 2 kulia na mbili kushoto. Zile pikipiki zinakwenda fasta kuziba barabara ya mbele just two minutes kabla msafara haujapita, msafara ukiishapita, zile mbili nyingine zinatangulia mbele kwa interchangeable paces. Yale mapikipiki makubwa ya polisi wa wenzetu kwenye misafara ya viongozi sio ya kurembeshea tuu msafara, bali pia kutumika kufunga njia na kufunga, sisi kutokana na umasikini, just imagine the labour cost ya kutandaza traffic barabara nzima toka Bagamoyo hadi Dar, tunatumia Traffic wangapi?!. Japo ukubwa raha, wengine wote wanasimamishwa mkubwa apite, lakini kusimamishwa huku kusiwe kero kwa wengine. Tena wajemeni hii misafara ya wakubwa pia ni mateso kwa Traffic wetu japo ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo, sidhani kama ni matumizi mazuri ya askari wetu kutandazwa njia nzima Dar-Bagamoyo kwa kazi ya kusimamisha magari nusu saa nzima kabla mkubwa hajapita,
Tukiufuata utaratibu kama huu wa Sweden, we can save a lot of time and put our askaris to a better use.
Tena huku Sweden, wako cost conscious, misafara ya viongozi wanapotembelea regions za mbali wanatumia special trums, huna haja ya kutumia msafara wa magari 20!. Trums 3 tuu zinatosha!.
Maendeleo ya kweli ni pamoja na kuwa na developmental attitudes kwenye kila kitu, tufanye kama wenzetu walioendelea, sio tunahumbiri tuu maendeleo ya kisasa na mbinu za mwaka 1947.
Alhamisi Njema.
Paskali
Washitakiwe kwa kuuhujumu uchumi wa wananchi na nchi.Ndg Pasco wewe umekuwa na bahati umesimamishwa 30 minutes tu, juzikati wakati mheshimiwa anaenda mapumzikoni nyumbani, akiwa bado Singida kama sijakosea, tayari Nzega magari yalishasimamishwa. Yaani karibia masaa 4 bila kujali kama msafara umesimamishwa na wananchi wanaompenda mheshimiwa na kufunga barabara ili walau wampongeze. Hii hali imekuwa shida sana kwakweli japo ulinzi wa viongozi wetu pia ni muhimu sana ili walau magari yasimamishwe pale wanapokuwa wanakaribia.
Duh...!.Mkuu mayalla, wewe siyo mtu mdogo kwenye hii Tanzania, Hakuna siku umeona dosari za utendaji wa magufuli, na kama ulijaribu kumkosoa ni kijisafisha mbele za watu.
Mbona Magogoni pale wanajua kuna mtu mzito lakini hawasogi "waizonge"?!Kila mtu akijua ile gari ndani kuna mtu mzito (yupo foleni) wanaweza isogelea waizonge hadi wamuone.
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.
Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.
Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.
Msafara wa magari zaidi ya 15, ulipopita, umepita kwa mwendokasi wa speed 150 kph, na umbali wa Bagamoyo Mbezi Beach, ni appx 50km, hivyo kwa mwendokasi huo, msafara unatumia just 20 minutes, hivyo akina sisi tumesimamishwa huku majiani, kabla hata msafara haujafika Bagamoyo!.
Nimeelezwa kinachochelewesha misafara ya viongozi ni wananchi kujitokeza kwa wingi kufunga barabara kuzuia msafara ili wamlaki na wamsalimie na kumpa kero zao kiongozi. Ma kwa vile viongozi wetu ni watu wa watu, watu wakikusanyika kumlaki kiongozi kwenye msafara unaokwenda speed 140kph mbele una escorts 3 as advance, then kuna sweeper, halafu wananchi wanajotokezea tuu kuusimamisha msafara ili wamlaki na wamsalimie kiongozi, na kweli msafara at 140kpm unasimama ghafla kiongozi asalimiwe, huku sisi tukisubirishwa!. Siulizi if its true true msafara unasimamishwa ghafla na wananchi wenye upendo na viongozi wao ili wamlaki, bali nauliza tuu is this fair?.
Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda, wanafanya nini?.
Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.
Misafara ya wenzetu kwa long trips kama Dar -Bagamoyo, kunakuwa na pikipiki 5 kwenye msafara, piki piki moja mbele, pikipiki 2 kulia na mbili kushoto. Zile pikipiki zinakwenda fasta kuziba barabara ya mbele just two minutes kabla msafara haujapita, msafara ukiishapita, zile mbili nyingine zinatangulia mbele kwa interchangeable paces. Yale mapikipiki makubwa ya polisi wa wenzetu kwenye misafara ya viongozi sio ya kurembeshea tuu msafara, bali pia kutumika kufunga njia na kufunga, sisi kutokana na umasikini, just imagine the labour cost ya kutandaza traffic barabara nzima toka Bagamoyo hadi Dar, tunatumia Traffic wangapi?!. Japo ukubwa raha, wengine wote wanasimamishwa mkubwa apite, lakini kusimamishwa huku kusiwe kero kwa wengine. Tena wajemeni hii misafara ya wakubwa pia ni mateso kwa Traffic wetu japo ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo, sidhani kama ni matumizi mazuri ya askari wetu kutandazwa njia nzima Dar-Bagamoyo kwa kazi ya kusimamisha magari nusu saa nzima kabla mkubwa hajapita,
Tukiufuata utaratibu kama huu wa Sweden, we can save a lot of time and put our askaris to a better use.
Tena huku Sweden, wako cost conscious, misafara ya viongozi wanapotembelea regions za mbali wanatumia special trums, huna haja ya kutumia msafara wa magari 20!. Trums 3 tuu zinatosha!.
Maendeleo ya kweli ni pamoja na kuwa na developmental attitudes kwenye kila kitu, tufanye kama wenzetu walioendelea, sio tunahumbiri tuu maendeleo ya kisasa na mbinu za mwaka 1947.
Alhamisi Njema.
Paskali
Update -18/06/20
Kumbe hili linawezekana...!
P
Wanabodi,
Tena huku Sweden, wako cost conscious, misafara ya viongozi wanapotembelea regions za mbali wanatumia special trums, huna haja ya kutumia msafara wa magari 20!. Trums 3 tuu zinatosha!. Ziara ya Rais Mkapa alipokwenda Sweden, siku anatembelea chuo kikuu cha Uppsala yeye na msafara wake wote ulitumia usafiri wa basi la pamoja, yeye, mwenyeji wake na msafara wake wote ndani ya basi hadi akina sisi waandishi wa habari nasi tukachanganywa mumo mumo!.

Hebu tupia picha kama unayoWatu wanalalamika Samia kupanda Basi la pamoja utafikiri Rais Samia ndie rais wa kwanza wa Tanzania kupandishwa basi ugenini... Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja!. Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden!
P
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa"
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.
Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.
Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.
Msafara wa magari zaidi ya 15, ulipopita, umepita kwa mwendokasi wa speed 150 kph, na umbali wa Bagamoyo Mbezi Beach, ni appx 50km, hivyo kwa mwendokasi huo, msafara unatumia just 20 minutes, hivyo akina sisi tumesimamishwa huku majiani, kabla hata msafara haujafika Bagamoyo!.
Nimeelezwa kinachochelewesha misafara ya viongozi ni wananchi kujitokeza kwa wingi kufunga barabara kuzuia msafara ili wamlaki na wamsalimie na kumpa kero zao kiongozi. Ma kwa vile viongozi wetu ni watu wa watu, watu wakikusanyika kumlaki kiongozi kwenye msafara unaokwenda speed 140kph mbele una escorts 3 as advance, then kuna sweeper, halafu wananchi wanajotokezea tuu kuusimamisha msafara ili wamlaki na wamsalimie kiongozi, na kweli msafara at 140kpm unasimama ghafla kiongozi asalimiwe, huku sisi tukisubirishwa!. Siulizi if its true true msafara unasimamishwa ghafla na wananchi wenye upendo na viongozi wao ili wamlaki, bali nauliza tuu is this fair?.
Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda, wanafanya nini?.
Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.
Misafara ya wenzetu kwa long trips kama Dar -Bagamoyo, kunakuwa na pikipiki 5 kwenye msafara, piki piki moja mbele, pikipiki 2 kulia na mbili kushoto. Zile pikipiki zinakwenda fasta kuziba barabara ya mbele just two minutes kabla msafara haujapita, msafara ukiishapita, zile mbili nyingine zinatangulia mbele kwa interchangeable paces. Yale mapikipiki makubwa ya polisi wa wenzetu kwenye misafara ya viongozi sio ya kurembeshea tuu msafara, bali pia kutumika kufunga njia na kufunga, sisi kutokana na umasikini, just imagine the labour cost ya kutandaza traffic barabara nzima toka Bagamoyo hadi Dar, tunatumia Traffic wangapi?!. Japo ukubwa raha, wengine wote wanasimamishwa mkubwa apite, lakini kusimamishwa huku kusiwe kero kwa wengine. Tena wajemeni hii misafara ya wakubwa pia ni mateso kwa Traffic wetu japo ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo, sidhani kama ni matumizi mazuri ya askari wetu kutandazwa njia nzima Dar-Bagamoyo kwa kazi ya kusimamisha magari nusu saa nzima kabla mkubwa hajapita,
Tukiufuata utaratibu kama huu wa Sweden, we can save a lot of time and put our askaris to a better use.
Tena huku Sweden, wako cost conscious, misafara ya viongozi wanapotembelea regions za mbali wanatumia special trums, huna haja ya kutumia msafara wa magari 20!. Trums 3 tuu zinatosha!. Ziara ya Rais Mkapa alipokwenda Sweden, siku anatembelea chuo kikuu cha Uppsala yeye na msafara wake wote ulitumia usafiri wa basi la pamoja, yeye, mwenyeji wake na msafara wake wote ndani ya basi hadi akina sisi waandishi wa habari nasi tukachanganywa mumo mumo!.
Maendeleo ya kweli ni pamoja na kuwa na developmental attitudes kwenye kila kitu, tufanye kama wenzetu walioendelea, sio tunahumbiri tuu maendeleo ya kisasa na mbinu za mwaka 1947.
Alhamisi Njema.
Paskali
Update -18/06/20
Kumbe hili linawezekana...!
P
Naunga mkono hoja.Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao.
Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa kwa saa nne ili veve apite "Nilishamwambia IGP na nirudie kuwaambia
Makamanda wa Polisi wa Mikoa, mambo ya kufunga barabara kwa masaa mengi kisa tu Mtoto wa masikini Philip Mpango anapita hapana"
"Jana naambiwa mmefunga Barabara mpaka masaa manne haiwezekani, kwanini?, sitaki kusikia tena hili linajirudia, muambizane na wanaopokea msafara huko tutakakopita"
"Acheni Wananchi wapite kwani dakika 10 hazitoshi), masaa manne kweli!?, nawaomba radhi ya dhati kabisa Wananchi"