Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichoelezea Pascal Mayalla hakina uhusiano na utajiri wa nchi. Hizo hizo pikipiki tulizonazo zikitumiwa vizuri zinatosha, tena na kubaki.Sidhani kama in sawa kumlaumu Mkuu wa Polisi na kumtaka kupeleka Polisi Sweden kujifunza zingatia hili labda unapotaka kulinganisha;
Sweden per capital income > 50 000 USD.
TZ yetu per capital < 2 000 USD
Sasa unawezaje kulinganisha hizo nchi mbili, Uchumi wa Sweden > 500 Billions USD idadi ya watu 10 million vs TZ yetu ukubwa wa uchumi < 80 Billions Idadi ya watu > 45 million.
Hivyo majibu yote yako hapo na hakuna kitu IGP atafanya usifikiri hawajui cha kufanya, wanajua ila wana limitations wakati huo huo ni jukumu lao pia kuhakikisha Usalama wa Viongozi, wanaweza hata wakawasafirisha kwa helikopta lkn who pays? Unaongelea nchi ambayo hata magari ya Polisi tunapewa msaada na hata kuweka mafuta tu wakati mwingine ni ishu, ...
Kwa hiyo mnatuchukulia kuwa hatujastaarabika ndiyo maana mnatufanyia mambo ya kishenzi? Usituingize huko mkuu, wengine tumestaarabika.Ungesema je kwa Mabeberu kiongozi wa nchi anapopita huwa anaunga foleni na yeye ili na sisi tujifunze
Ila Kumbuka jamii yetu bado tupo nyuma kwa kifupi hatujastaarabika.
Mkuu kuna watu watatetea kila ushenzi tunao fanyiwa ikiwa ni pamoja na hili. Tecnology zipo za kuweza kupunguza muda wa kufunga barabara lakini jitu linatetea ujinga. Mwingine anaona hii sawa hati hatujastaarabika-my foot.Alichoelezea Pascal Mayalla hakina uhusiano na utajiri wa nchi. Hizo hizo pikipiki tulizonazo zikitumiwa vizuri zinatosha, tena na kubaki.
Ndg Pasco wewe umekuwa na bahati umesimamishwa 30 minutes tu, juzikati wakati mheshimiwa anaenda mapumzikoni nyumbani, akiwa bado Singida kama sijakosea, tayari Nzega magari yalishasimamishwa. Yaani karibia masaa 4 bila kujali kama msafara umesimamishwa na wananchi wanaompenda mheshimiwa na kufunga barabara ili walau wampongeze. Hii hali imekuwa shida sana kwakweli japo ulinzi wa viongozi wetu pia ni muhimu sana ili walau magari yasimamishwe pale wanapokuwa wanakaribia.
Wenzetu per capita ni >$ 50,000 sisi <$ 2,000. Kwa hali hii basi tutumie muda wetu vizuri ili kujenga uchumi badala ya kupoteza muda mrefu tukisubiri misafara ya viongozi ambao hupita baada ya saa nyingi.Sidhani kama in sawa kumlaumu Mkuu wa Polisi na kumtaka kupeleka Polisi Sweden kujifunza zingatia hili labda unapotaka kulinganisha;
Sweden per capital income > 50 000 USD.
TZ yetu per capital < 2 000 USD
Sasa unawezaje kulinganisha hizo nchi mbili, Uchumi wa Sweden > 500 Billions USD idadi ya watu 10 million vs TZ yetu ukubwa wa uchumi < 80 Billions Idadi ya watu > 45 million.
Hivyo majibu yote yako hapo na hakuna kitu IGP atafanya usifikiri hawajui cha kufanya, wanajua ila wana limitations wakati huo huo ni jukumu lao pia kuhakikisha Usalama wa Viongozi, wanaweza hata wakawasafirisha kwa helikopta lkn who pays? Unaongelea nchi ambayo hata magari ya Polisi tunapewa msaada na hata kuweka mafuta tu wakati mwingine ni ishu, ...
Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.
Tuliwahi kusimamishwa pale Veta Zaid ya Saa 1 Kusubiri msafara Sijui wa kiongozi Gani,,Nashindwaga kuelewa hawa wahusika Inakuaje hawajali muda wa wanachiWanabodi,
Ukiondoa thamani ya uhai, hakuna kitu kingine duniani chenye thamani kama muda, time is money, kupotezeana muda ni kuzorotesha maendeleo.
Niko njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, tumesimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani anatokea njia ya Bagamoyo.
Huku kusimamishana babarani nusu saa nzima, kisa anapita kiongozi, ilikuwa ni zile enzi za ujima, kwenye dunia ya sasa ya the age of information science, unamsimamisha mtu dakika 30 kupisha msafara wa kiongozi ni kupotezaana muda. Wengine kazi zetu zina very tight deadlines, kama zilivyo tender deadlines, umechelewa hata dakika moja, imekula kwako.
Ndio maana sisi tunawasisitiza viongozi wetu, wasiopenda kusafiri nchi za watu kwa lengo la kubana matumizi, mara moja moja wasafiri tuu kwenda nchi za Ulaya na Amerika, sio kwa ajili ya kwenda kuponda raha, au kubembea hewani kwa kukwea pipa bali kusafiri ili kwenda kupata tuu exposure, wenzetu wakoje na wanafanyaje mambo yao.
Msafara ulipopita, umepita kwa mwendokasi wa speed 150 kph, na umbali wa Bagamoyo Mbezi Beach, ni appx 50km, hivyo kwa mwendokasi huo, msafara unatumia just 20 minutes, hivyo akina sisi tumesimamishwa huku majiani, kabla hata msafara haujafika Bagamoyo!.
Nimeelezwa kinachochelewesha misafara ya viongozi ni wananchi kujitokeza kwa wingi kufunga barabara kuzuia msafara ili wamsalimie kiongozi. Yaani msafara wa kiongozi at 140kph mbele una escorts 3 as advance, then kuna sweeper, halafu wananchi wanajotokezea tuu kuusimamisha msafara ili wamsalimie kiongozi, na kweli msafara at 140kpm unasimama ghafla kiongozi asalimiwe, huku sisi tukisubirishwa!. Siulizi if its true true msafara unasimamishwa ghafla na wananchi wenye upendo na viongozi wao, bali nauliza tuu is this fair?.
Kwa hili la misafara ya viongozi ya kupotezeana muda, namshauri Afande IGP, Kamanda Sirro, amchukue Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, akafanye ziara ya kimafunzo nchini Sweden aone misafara ya viongozi wa wenzetu wanaojali muda, wanafanya nini?.
Kule Sweden hakuna kusimamishwa kwa kupotezeana muda, hata ukija ugeni wa rais, magari yanasimamishwa for less than 3 minutes. Misafara ya wenzetu inatumia precise timings kwa kutumia GPS, msafara ukifika Bagamoyo, wanaona time calculations msafara utafika Mbezi saa ngapi, then kabla ya just 5 minutes before ndipo barabara zinafungwa. Hizo GPS kwenye hizo SUV zenu za nini?.
Misafara ya wenzetu kwa long trips kama Dar -Bagamoyo, kunakuwa na pikipiki 5 kwenye msafara, piki piki moja mbele, pikipiki 2 kulia na mbili kushoto. Zile pikipiki zinakwenda fasta kuziba barabara ya mbele just two minutes kabla msafara haujapita, msafara ukiishapita, zile mbili nyingine zinatangulia mbele kwa interchangeable paces. Yale mapikipiki makubwa ya polisi wa wenzetu kwenye misafara ya viongozi sio ya kurembeshea tuu msafara, bali pia kutumika kufunga njia na kufunga, sisi kutokana na umasikini, just imagine the labour cost ya kutandaza traffic barabara nzima toka Bagamoyo hadi Dar, tunatumia Traffic wangapi?!. Japo ukubwa raha, wengine wote wanasimamishwa mkubwa apite, lakini kusimamishwa huku kusiwe kero kwa wengine. Tena wajemeni hii misafara ya wakubwa pia ni mateso kwa Traffic wetu japo ndio wameajiriwa kwa kazi hiyo, sidhani kama ni matumizi mazuri ya askari wetu kutandazwa njia nzima Dar-Bagamoyo kwa kazi ya kusimamisha magari nusu saa nzima kabla mkubwa hajapita,
Tukiufuata utaratibu kama huu wa Sweden, we can save a lot of time and put our askaris to a better use.
P
Sanasana mtu fulani kama anatoka Dsm anaenda dodma watu tunakaa kwenye mabasi masaa hata mawili na wakiachia barabara mkanyagano huo ajari ndogongogo zinatokea sanaWanabodi,

Daaah, me nilikuwa nasemaga Time is makangability!Time is making ability!
Kwahiyo mkuu mamlaka ikikuamuru ule mavi basi utakula kwa vile unaheshimu mamalakaJifunze kuheshimu mamlaka
Sweden mbali sna waje hapa kwa Madiba tu kupata Elimu hiyo kingine sio kila kiongozi Msafara hapa kwetu hatari sna...Wanabodi,

Wewe umetumwa na mabeberu sio bure. Hii nchi ni tajiri sana,hatuwezi kushindwa jambo dogo kama hilo. Kama vyama vya upinzani vimedhibitiwa,mafisadi wote wameisha hili ni jambo dogo. Ngoja mr Prezidaa ausome huu uzi ndio utaamini hatishindwi kitu.Sidhani kama in sawa kumlaumu Mkuu wa Polisi na kumtaka kupeleka Polisi Sweden kujifunza zingatia hili labda unapotaka kulinganisha;
Sweden per capital income > 50 000 USD.
TZ yetu per capital < 2 000 USD
Sasa unawezaje kulinganisha hizo nchi mbili, Uchumi wa Sweden > 500 Billions USD idadi ya watu 10 million vs TZ yetu ukubwa wa uchumi < 80 Billions Idadi ya watu > 45 million.
Hivyo majibu yote yako hapo na hakuna kitu IGP atafanya usifikiri hawajui cha kufanya, wanajua ila wana limitations wakati huo huo ni jukumu lao pia kuhakikisha Usalama wa Viongozi, wanaweza hata wakawasafirisha kwa helikopta lkn who pays? Unaongelea nchi ambayo hata magari ya Polisi tunapewa msaada na hata kuweka mafuta tu wakati mwingine ni ishu, ...
Kwa msafara unaotumika unahitaji kama dk 5 tu kusafisha njia. Gari ya polisi ikimove 1km away na anapoanzia kiongozi msafara inatosha kupisha. Bado tupo kwenye mazoea sana .. jamaa yupo dar,mikoani anapokuja mshapigwa pini.Ndg Pasco wewe umekuwa na bahati umesimamishwa 30 minutes tu, juzikati wakati mheshimiwa anaenda mapumzikoni nyumbani, akiwa bado Singida kama sijakosea, tayari Nzega magari yalishasimamishwa. Yaani karibia masaa 4 bila kujali kama msafara umesimamishwa na wananchi wanaompenda mheshimiwa na kufunga barabara ili walau wampongeze. Hii hali imekuwa shida sana kwakweli japo ulinzi wa viongozi wetu pia ni muhimu sana ili walau magari yasimamishwe pale wanapokuwa wanakaribia.
Unahisi kuna wese la mawazo hapa mkuu?Sidhani kama in sawa kumlaumu Mkuu wa Polisi na kumtaka kupeleka Polisi Sweden kujifunza zingatia hili labda unapotaka kulinganisha;