Misafara ya viongozi ni mzigo kwa wananchi

Misafara ya viongozi ni mzigo kwa wananchi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Tumezowea kuyaona haya Nigeria:



Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo.

Umeme wa uhakika tuupate wapi
sisi kama haba na haba tungali hatujui hujaza vibaba?
 
Hata ingekuwa wewe ni dereva kwenye huo msafara ungeona raha
 
Tumezowea kuyaona haya Nigeria:

View attachment 2759718

Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo...
Wow! CCM hakika ni janga la taifa! Ilianza hivi.

Nje ya CCM hakuna mwenye sifa wala uwezo wa kuliongoza taifa.

Nje ya familia hakuna mwenye sifa wala uwezo wa kuliongoza taifa.

Na sasa wa kutukwamua tulipokwama hayupo miongoni mwa Watanzania 60 milioni...
 
Umejuaje mkuu

Mkuu zingatia neno: "usishangae."

Pia zingatia hawa hawa na ka utaratibu ka kuiga na mpambe was kusimama nyuma. Mbona si pk, Macron wala Biden?

Haka ka kasumba ka CCM kanakuwa kametuingia ingia damuni hivi ..

Hivyo usishangae mkuu ..
 
Hayo ndiyo mambo wanayoyajua

Wanawatimulia tu vumbi watu

Ova
 
Umati si tulishakubaliana huletwa kwa ma FUSO, trekta na ma TOYO?

Humo ni mwendo wa wasiojulikana .
Kwanini awe nao wengi kiasi hicho kama anayependwa na kila mtu
 
Back
Top Bottom