Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Hata hawa wengine wakitimba ikulu usishangae ikawa hivi hivi ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Hata hawa wengine wakitimba ikulu usishangae ikawa hivi hivi ..
[emoji2956][emoji2956]Ndo huwa hivyo mara zote, wstu wanaongea tu[emoji28]
Yaani ndugu yangu, nimepata bahati ya kushuhudia convoy za Marais SA, Botswana, Rwanda....gari SI zaidi ya 5 na hakuna kusumbua sana traffic zingine! Nchi maskini lakini mikwara ya kifalme chungu nzima.... kaazi kwelikweli..Mkuu zingatia neno: "usishangae."
Pia zingatia hawa hawa na ka utaratibu ka kuiga na mpambe was kusimama nyuma. Mbona si pk, Macron wala Biden?
Haka ka kasumba ka CCM kanakuwa kametuingia ingia damuni hivi ..
Hivyo usishangae mkuu ..
Angalia viongozi wetu hata wanapotembelea huko nje. Ulinzi wao na misafara yao huwa easy kabisa. Lakini kosa wanapokanyaga ardhi ya nyumban !!. Utadhani wananchi wao ndiyo maadui wao ?! Nashindwa kuelewa logic ya watu wa nyumbani kuonekana maadui kuliko huko nje.Yaani ndugu yangu, nimepata bahati ya kushuhudia convoy za Marais SA, Botswana, Rwanda....gari SI zaidi ya 5 na hakuna kusumbua sana traffic zingine! Nchi maskini lakini mikwara ya kifalme chungu nzima.... kaazi kwelikweli..