Yaani ndugu yangu, nimepata bahati ya kushuhudia convoy za Marais SA, Botswana, Rwanda....gari SI zaidi ya 5 na hakuna kusumbua sana traffic zingine! Nchi maskini lakini mikwara ya kifalme chungu nzima.... kaazi kwelikweli..

Angalia viongozi wetu hata wanapotembelea huko nje. Ulinzi wao na misafara yao huwa easy kabisa. Lakini kosa wanapokanyaga ardhi ya nyumban !!. Utadhani wananchi wao ndiyo maadui wao ?! Nashindwa kuelewa logic ya watu wa nyumbani kuonekana maadui kuliko huko nje.
Mikwara ya ulinzi mkubwa, misafara mikubwa, lakini wakiwa kwa watu huko wanapishana mpaka na vibaka bila shida yoyote. Sijui ni kasumba ?!