Misamaha ya Kisiasa na hatari ya Taifa lisiloheshimu mamlaka wala kufuata Sheria

Sio kansa, ni fursa kwa demokrasia ya ushindani na nchi kwa ujumla.
Hamna, hakuna demokrasia ya kufunga washindani wako wa kisiasa au kuwapiga risasi, hiki ndicho wafuasi wa Magufuli wanataka, sababu ndio ilikuwa njia ya Magufuli.

Hawataki siasa za kiushindani na za kistaarabu, wanataka ubabe wa kutumia dola dhidi ya washindani. Hii ni kansa
 
Pumbavu mkubwa, hakuna mpinzani aliyesema Mbowe asamehewe, walisema Mbowe aachiwe, weka nukuu yao hapa wakisema Mbowe asamehewe wewe msukule wa Sabaya
 
Pumbavu mkubwa, hakuna mpinzani aliyesema Mbowe asamehewe, walisema Mbowe aachiwe, weka nukuu yao hapa wakisema Mbowe asamehewe wewe msukule wa Sabaya
Free Sabaya.
 
Pumbavu mkubwa, hakuna mpinzani aliyesema Mbowe asamehewe, walisema Mbowe aachiwe, weka nukuu yao hapa wakisema Mbowe asamehewe wewe msukule wa Sabaya
Mtu mwenye roho ya chuki Kwa wengine ni ngumu kuificha chuki yake.
 
Ndio maana wenzenu wakidai Katiba Mpya nyie mnawatukana!!...Haya sasa twendelee hivi hivi!!..Mlidhani wanaomba Kwa maslahi Yao na familia zao Tu!!.. Twendelee hivi hivi sasa
 
Wananchi wote, wakiwemo wanasiasa ni muhimu sana wajue Kila mtu anatakiwa atendewe kwa haki kwa mujibu wa sheria.
Utaratibu wa kisheria wa kushitaki ufuatwe kwa uwazi na haki siyo tu itendeke bali pia ionekane ikitendeka.
Kiwango cha uthibitisho bila shaka yoyote kwa mashitaka ya jinai kitumike mahakamani kama sheria inavyotaka na siyo hisia za jaji au hakimu.
Muhimu zaidi ni kwa watumishi wote wa uma wanaotakiwa na katiba kutojihusisha na siasa au kupendelea upande wowote wa vyama kuzingatia hilo na ikithbitika washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Sio kansa kwa sasa kwa sababu hawana tena hayo mamlaka, kwa sasa mataga ni fursa.
 
Wanasiasa wanatengeneza matabaka.

Kwamba wakifanya makosa hata kama ni makosa kweli kwakua ni wanasiasa basi wanahitaji huruma yetu that is totally wrong.

Lazima tujenge utaratibu kwamba mtu anakuwa accountable kwa matendo yake.
 
Taasisi zetu zinashindwa kuutumia uhuru walionao wanakimbilia kujipendekeza kwa Rais ili wapandishwe vyeo,tumeona maamuzi ya ovyo kabisa yakitolewa na tume ya uchaguzi,tumeona takukuru wakifuta kesi nyingi tu walizobambikia watu.tumeona majaji walipandishwa vyeo kwa kutoa maamuzi ya ovyoovyo kwenye mahakama za chini nakuja kutupiliwa mbali kwenye mahakama za juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…