Misamiati inayotumika kwa wingi hapa JF

Misamiati inayotumika kwa wingi hapa JF

Huwa naamn jamii forum ina watu wa kuigana sana kila mtu mkuu alafu wanapenda kutajana sana utazani wao ndo waazilishi wa hii platform na wanaamin watu wengne hawawez kupost kitu cha maana kwakuwa sio flan kapost huwa nawadharau sana weng wenu ndo maana misamiat ni ile ile ya mkuu na papuchi
kweli wewe popoma kwahiyo kujilalamisha kama mtoto wa kike unategemea Nini hebu futa upupu wako mwanaume halalamiki anajituma tu
 
Policcem.
Magamba.
Magwanda.
Mkuu

fail to plan = plan to fail.
 
Ifuatayo ni misamiati inayotumika kwa wingi na pengine kwa upekee tu hapa JF kiasi cha kwamba ukitumia kwenye mitandao mingine ya kijamii unaweza usieleweke;

Mkuu
Chattle
wakiamaanisha Chato
Mkulu
Ngosha

Karibu mwanajukwaa Uendeleze na wewe misamiati hiyo
policccm
 
bwana yule
 
Kuna huu msamiati "NYUMBU" huwa unatumika sana kule siasani na unawakera sana watu. .
 
Back
Top Bottom