Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
kudu ukudulie umande, mvua haina ukuduzi![emoji53][emoji53][emoji53]
Daaah inaonekana mkuu ulifanya utafiti miaka mingi xna maana daahIfuatayo ni misamiati inayotumika kwa wingi na pengine kwa upekee tu hapa JF kiasi cha kwamba ukitumia kwenye mitandao mingine ya kijamii unaweza usieleweke;
Mkuu
Chattle wakiamaanisha Chato
Mkulu
Ngosha
Karibu mwanajukwaa Uendeleze na wewe misamiati hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iyo alisaauPichu
Papuchi
Wakuu mnanifulaishaPAPUCHI
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waje
Ngoja waje