Misamiati inayotumika kwa wingi hapa JF

Misamiati inayotumika kwa wingi hapa JF

Ifuatayo ni misamiati inayotumika kwa wingi na pengine kwa upekee tu hapa JF kiasi cha kwamba ukitumia kwenye mitandao mingine ya kijamii unaweza usieleweke;

Mkuu
Chattle
wakiamaanisha Chato
Mkulu
Ngosha



Karibu mwanajukwaa Uendeleze na wewe misamiati hiyo
Daaah inaonekana mkuu ulifanya utafiti miaka mingi xna maana daah
 
Back
Top Bottom