Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

PHD kwa bongo aina maana naamini ningesoma sana ningekua mjinga by Bob marley education make people more stupid
 
Huyu bwana amenitia nguvu sana ya kupambana na elimu kweli hakuna kisichowezekana...chini..ya jua...I believe that one day I will have a pHD....also
Tia nia mkuu
tupo nyuma yako ...kadiri siku zinavyosonga na kugundua kumbe nimezungukwa na wajinga wengi naona bora niongeze Elimu japo kidogo.
 
Hongera sana Misanya a.k.a Baba Colins. Miaka mingi umepambana tangu miaka ya 2000's enzi za RBN Mikocheni tukipata moja na moja na Mkubwa B. Kiula. Keep it up!
 
Flora nducha, Mikidadi Mahamud, Abubakar Sadick na Rose Chitalla wako wapi?
Umenukumbusha Rose Chitalla na Flora nducha, radio one enzi hizo ilikuwa inabamba kweli kweli, abubakari sadick na kipindi cha nani zaidi...
 
Jamaa alijisahau sana wakati ule alipokuwa anatangaza kwenye redio ya mjomba wa mke wake.

Alipolikoroga uncle akamtimulia mbali, ndipo alipoamua kwa hasira kwenda kusoma mlimani.

Shukrani mjomba kwa kumuonyesha njia maana alibweteka.
 
Wapi Mike Mhagama kama sijakosea jina
 
Back
Top Bottom