jina lake kamili ni Sostenes Ambakisyemkuu alikuwa akijitambulisha kama dj sos b mara nyingne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jina lake kamili ni Sostenes Ambakisyemkuu alikuwa akijitambulisha kama dj sos b mara nyingne
yap na nimelitaja gapo juujina lake kamili ni Sostenes Ambakisye
ni kweli, nimekumbuka alikuwa wakati mwingine anajitambulisha kama dj. jamaa aliwahi kuwa rapper pia, enzi za wimbo wa 'kurukakara zako wewe'mkuu alikuwa akijitambulisha kama dj sos b mara nyingne
Phd inamaana wapi??PHD kwa bongo aina maana naamini ningesoma sana ningekua mjinga by Bob marley education make people more stupid
Safi sana Dr bisanya umetendea haki elimu!!
Phd inamaana wapi??
yule alikuwa anayakeUnamkumbuka mkuu wa mkoa aliyetenguliwa pale morogoro alivyokua analia yule ana PHD
Wewe kama shule imekushinda kaa kimya usikatishe wenzio tamaa.Unamkumbuka mkuu wa mkoa aliyetenguliwa pale morogoro alivyokua analia yule ana PHD
yule alikuwa anayake
Degree inanitosha sana tena sio za kichina za sahiviWewe kama shule imekushinda kaa kimya usikatishe wenzio tamaa.
Tia nia mkuuHuyu bwana amenitia nguvu sana ya kupambana na elimu kweli hakuna kisichowezekana...chini..ya jua...I believe that one day I will have a pHD....also
Tia nia mkuu
tupo nyuma yako ...kadiri siku zinavyosonga na kugundua kumbe nimezungukwa na wajinga wengi naona bora niongeze Elimu japo kidogo.
Umenukumbusha Rose Chitalla na Flora nducha, radio one enzi hizo ilikuwa inabamba kweli kweli, abubakari sadick na kipindi cha nani zaidi...Flora nducha, Mikidadi Mahamud, Abubakar Sadick na Rose Chitalla wako wapi?