Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Maisha ndio haya haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu naukubali sana na sitouacha..Kila mtoto huja na sahani yake
Naunganana ww kabisa.Huu naukubali sana na sitouacha..
Hi imekaa kizembe pia😅😅Riziki mafungu saba
Huu msemo ukiuzingatia utaishi maisha mazuri sana..Maisha ndio haya haya
Mola ndiye mgawa rizikiGod will do it.
God will make a way.
Muachie Mungu tu.
Hii misemo imewaacha wengi kwenye umaskini na ufukara.
I)Leo kwangu kesho kwake
ii)Aliyempa yeye ndo aliyeninyima mimi
iii)Kama ipo ipo tu
Ongezea na wewe
Sahani za watoto omba omba barabarani zilipotelea wapi😁?Huu naukubali sana na sitouacha..
Huu msemo sio wa kijinga bali ni ukweli na uhalisia.Maisha ndio haya haya
is a bitchKarma
Ni kweli kabisa.mzee hakukosea.Siku moja tulikuwa tumekaa kijiweni. Akapita tajiri mmoja wa mtaa tunaoishi kwenye Range Rover mpya, kali sana. Alikuwa anajukana kwa utajiri wake. Tulikuwa tumekaa na mzee mmoja, akaanza kuchoma choma ardhi kwa kijiti, tena kwa ghalabu huku akisema, ''hata uendeshe gari gani, wote njia yetu ni moja tu, tunaelekea huku'', akimaanisha ardhini. Na mara wote tuliokuwa pale tukajisikia kuliwazika na tukajiona na furaha, kama tumetua mzigo mzito.
Kumuachia haimaanishi uwe Mzembe , watu wasiosoma vizuri maandiko ndio wanatafsiri na kutumia vibaya huo msemo .Lakini hata mafundisho yameelekeza mtu apambane ili kufanikiwa .God will do it.
God will make a way.
Muachie Mungu tu.
Hii misemo imewaacha wengi kwenye umaskini na ufukara.
Msemo huu wenye wivu wanaupenda sana hata ukinunua baiskeli siku wakikuona uko kwa mguu wanautumia kisa tu ulimtimulia vumbiMalipo ni hapahapa duniani
Inategemea unautumia katika nyakati gani...... Mfano umelala tu unajisikia uvivu kutoka kwenda kwenye mishe unajifariji na "aah maisha ndo haya haya" hapa uvivu unajijaza na uvivu tenaHuu msemo sio wa kijinga bali ni ukweli na uhalisia.
Maisha ndio haya haya, Hakuna maisha mengine zaidi ya hapa duniani.