"Kama riziki popote kafungue mgahawa chooni"
Pata pesa tujue tabia yako,filisika tujue tabia ya mkeo.
Hizi maneno zingewekewa utaratibu wa kulipiwa kodi ya matamgazo tungepunguza utegemezi kwenye budget yetu.
"BABA YAKO ANALO" aliandika hayati Dr. Remmy ongalla kwenye mtukari wake.
Hongera kwa thread nzuri.
kusoma san n uoga w maish
Chafya ya mpishi haizimi jiko