Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Duh......hiyo mke mmoja hudumaza akili.....imetulia.
 
Hata wewe swahiba
 

Attachments

  • 1429717049066.jpg
    1429717049066.jpg
    26.9 KB · Views: 998
"Tupendane Japo Kinafiki...."
Nyagawa ya njombe iyo zhongtong
 
Hizi maneno zingewekewa utaratibu wa kulipiwa kodi ya matamgazo tungepunguza utegemezi kwenye budget yetu.

"BABA YAKO ANALO" aliandika hayati Dr. Remmy ongalla kwenye mtukari wake.

Hongera kwa thread nzuri.

Kweli kabisa wenzetu us tag ya gari ukita kuandika neno la ziada unalipia
 
Back
Top Bottom