pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hii niliona kwenye dirisha la nyuma kwenye matatu za kwenda machakos toka nairobi.OSU,MAKU! tena zimeandika kwa herufi kubwa!Yaani USO,K-M-A!Matusi hadharani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii niliona kwenye dirisha la nyuma kwenye matatu za kwenda machakos toka nairobi.OSU,MAKU! tena zimeandika kwa herufi kubwa!Yaani USO,K-M-A!Matusi hadharani!
mkuu kwenye hiace kumeandikwa ninindama kaliwa na mwewe
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
Haiumizi ni umbile lake
Kama ndoto zako hazijatimia rudi kulala....
By the way haya co majina ni nukuu zilizo kwenye magari tuu
1;utam wa chipsi mimba
2;ukiona sketi za shule zinakuzuzua mshonee mkeo
3;utamu wa pipi mate
4:ukitaka kujua tabia ya mkeo filisika
5; Hata bibi alikuwa binti
6: paka haishi kwa msela