Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahhhh....una maana nzito sana endapo uki utafakali kwa kinaJana niliona daladala likiwa limeandikwa ujumbe uliosomeka hivi "Ishi nao kwa upendo ila usiwaamini".
Binafsi huu ujumbe umekuwa wa maana sana kwangu.
Nini mtazamo wako mwana JF.
Ni kweli kabisa mkuu,ndio maana nimeamua kuutumia huo ujumbe kama signature yangu.Dahhhh....una maana nzito sana endapo uki utafakali kwa kina
Hivi hii kitu huwa inamaanisha nini mkuu?Mbuzi kafia kwa muuza supu
Wenyewe wanasema ''Mpe anayekupa ukimpa umeweka,usimpe asiyekupa ukimpa umetupa''Kumpa asiekupa ni sawa na kutupa