Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Jana niliona daladala likiwa limeandikwa ujumbe uliosomeka hivi "Ishi nao kwa upendo ila usiwaamini".

Binafsi huu ujumbe umekuwa wa maana sana kwangu.
Nini mtazamo wako mwana JF.
Dahhhh....una maana nzito sana endapo uki utafakali kwa kina
 
[emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184][emoji184] [emoji184] HAKUNA DHAMBI KUBWA KAMA KUKATA TAMAA[emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184] [emoji184]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…