Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 653
Mtalaka hatongozwi1. Kisu cha ngariba
2. Mkanye mkeo,bodaboda siyo yangu
3. Kusoma sana ni woga wa maisha
4. Panua mkwaju waja
5. Tatizo pesa
6. Dela hunoga kwa mwenye nyama
7. Kutwa mara tatu
8. Hainaga ushemeji tunakulaga
9. Mbuyu ulianza kama mchicha
10.
Naomba uongezee misemo mingine uijuayo.