AL SADY OLPLANER
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 294
- 211
kaka umetishaa ......ukijambaa sana ...Ukijamba kwa hasira utajinyea.
Ukikilazimisha kukohoa utatapika.
Mficha uchi hazai.
Ole wake afuataye nyayo za simba
mchamba wima hatakati.
Nipe sumu yangu ninywe nikafie mbele
mkulu kumwao
kiatu cha kushoto hakivaliwi kulia
sema letee maana ya MKULU KUMWAO