Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Ni mtazamo tu, na nimenukuu huko. Mjumbe hauwawi. Je, wewe unsemaje kuhusu hili?....Kwamba Tanzania ingekuwa labda daladala au gari au bodaboda, abiria tungeshuka.
 

Attachments

  • tigat.jpg
    tigat.jpg
    23.9 KB · Views: 144
Ni mtazamo tu, na nimenukuu huko. Mjumbe hauwawi. Je, wewe unsemaje kuhusu hili? Kwamba, Tanzania ingekuwa gari, au bodaboda, ama daladala; basi abiria tungeshuka.
 
UTASHUKA VIPI WAKATI GARI LENYEWE LA MWENDOKASI AFU CHINI VIWANDA VIMEJAA UTAJENGA WAPI??!!!BAKI GARINI WEWE
 
Kabisa,hii gari ni nzuri sana ndani,abiria tumejipanga na tunapendana sana,lakini dereva anatuyumbisha hadi tunadondokeana,na anendesha kwa pupa sana hadi safari tunaiona ngumu,hata porini ningeshuka
 
Ukio mwenye kitambi ambae hana pesa ni sawa na mwanamke mwenye mimba bila mume
 
Back
Top Bottom