Ni mtazamo tu, na nimenukuu huko. Mjumbe hauwawi. Je, wewe unsemaje kuhusu hili?....Kwamba Tanzania ingekuwa labda daladala au gari au bodaboda, abiria tungeshuka.
Ni mtazamo tu, na nimenukuu huko. Mjumbe hauwawi. Je, wewe unsemaje kuhusu hili? Kwamba, Tanzania ingekuwa gari, au bodaboda, ama daladala; basi abiria tungeshuka.
Kabisa,hii gari ni nzuri sana ndani,abiria tumejipanga na tunapendana sana,lakini dereva anatuyumbisha hadi tunadondokeana,na anendesha kwa pupa sana hadi safari tunaiona ngumu,hata porini ningeshuka