Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1.Nataka nikikua niwe Scannia(bajaj)
2.Kufa lazima kuishi bahati
3. !?
 
1-japo mzuri fanya heshima
2-warovu kanzimanya "anukae hajijui"
3-mtu kwao
 
Hata mkilalamika vipi kuhusu safari zangu nnje ya nchi,sita acha(ndege ya jk ilivyo andikwa nyuma)
 
Sasa kuna moja nimeiona jana imeandikwa hivi............. UKIKONDA UNA UKIMWI NA UKINENEPA UNATUMIA DOZI..................
 
Wivu si dawa..tatizo pesa..ata ulaya ni hivihivi...bakutola walambikiliza...
 
Ubitozi bila hela sawa na kipara bila elimu
 
Chezea ugali mezani usichezee kazi
hata babu alikuwa kijana
laki c pesa
 
Mwisho wa ubaya ni aibu
Vinyago tuchonge wenyewe halafu ututishie nayo?
Kazi ni kazi
In God We Trust
Imergence Poison
Ukimwaga mboga namwaga ugali
katoto Kanko
Iga Ufe
 
Back
Top Bottom