Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Kuna gari mbili kubwa zilikuwa zinapak msufini- dar kwenye uwanja wa mpira moja iliandikwa Unga Robo, nyengine iliandikwa Wifi Nae.
 
Ahahah eti ya Jirani tamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…