Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha si-waswahili wajua haya mambo mwanzo wake ni huku pwani ... kama ukitembelea tanga " Sehemu za nje kidogo ya mji utakutana na nyumba ambazo mlangoni au pembeni ya mlango ukutani utakutana na jumbe tofauti tofauti zimeandikwa hapo ....
Umeua!!!!Haya ni baadhi ya majibu ya abiria baada ya konda kudai nauli.
"Nitakupa"
"Subiri isimame ntakupa"
"Atakupa mbele"
"Utapewa nyuma"
"Hivi nilivyokaa nitakupaje?"
"Umesikia hupewi?"
"Tulia nakupa"