Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

ukimjuwa bosi wangu tu kazi sina
mpende sana mkeo ila usimwamini sana
ukiona shairi hulielewi basi hujaimbiwa wewe
 
Simama mistari wa pili kama molinga unasimama kama unakunya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…