KAHIMERIA JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 376 Reaction score 453 Mar 6, 2021 #3,661 MJINI KARAHA Sent using Jamii Forums mobile app
CAGvsSPEAKER JF-Expert Member Joined May 16, 2019 Posts 1,339 Reaction score 5,044 Mar 10, 2021 #3,662 SHOGA HATISHIWI KUJAMBA Sent using Jamii Forums mobile app
plan z JF-Expert Member Joined Jun 10, 2019 Posts 1,395 Reaction score 1,443 Mar 10, 2021 #3,663 Kingi kina chumvi, Kidogo hatushibi
Nizhneserginsky JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 269 Reaction score 579 Mar 11, 2021 #3,664 Ktk pitapita\kutembea mijini&vijijini nimekutana na misemo yenye kuchekesha kwnye magari, pikipiki. 1."hakuna kuforce relationship just cry and move on..Hata ambulance inaliaga ikienda". 2."uliwaza urithi mzee kapona". 3."ukichoka lala"-hii ni baada ya lori kupinduka. 4."kaa mbali sijabeba ulanzi'-lori ya mafuta. 5."yatima hadeki". 6."mpende mkeo beki 3 hana maana". 7."Test your Airbag"-nyuma ya lori kwenye ngao. 8."utatoa? hutoi?". 9."Bashite kama Bashite". 10."sawa ni baya Baba yako analo?" ongezea ambayo ulikutanayo...
Ktk pitapita\kutembea mijini&vijijini nimekutana na misemo yenye kuchekesha kwnye magari, pikipiki. 1."hakuna kuforce relationship just cry and move on..Hata ambulance inaliaga ikienda". 2."uliwaza urithi mzee kapona". 3."ukichoka lala"-hii ni baada ya lori kupinduka. 4."kaa mbali sijabeba ulanzi'-lori ya mafuta. 5."yatima hadeki". 6."mpende mkeo beki 3 hana maana". 7."Test your Airbag"-nyuma ya lori kwenye ngao. 8."utatoa? hutoi?". 9."Bashite kama Bashite". 10."sawa ni baya Baba yako analo?" ongezea ambayo ulikutanayo...
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,923 Reaction score 40,246 Mar 11, 2021 #3,665 Hayo maneno yanalisaidiaje taifa na watu wake? Embu kuwa serious kidogo
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,434 Mar 11, 2021 #3,666 Usije mjini kaka Nalog off
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Mar 13, 2021 #3,667 MIXOLOGIST said: Hayo maneno yanalisaidiaje taifa na watu wake? Embu kuwa serious kidogo Click to expand... Tuchape Kazi Mabeberu Hawatupendi Tumechelewa Sana Ndugu Zangu Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 😅😄😃🤣😂😁😀🤣🤣🤣😂😂😂😄
MIXOLOGIST said: Hayo maneno yanalisaidiaje taifa na watu wake? Embu kuwa serious kidogo Click to expand... Tuchape Kazi Mabeberu Hawatupendi Tumechelewa Sana Ndugu Zangu Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 😅😄😃🤣😂😁😀🤣🤣🤣😂😂😂😄
X-12 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2020 Posts 444 Reaction score 656 Mar 13, 2021 #3,668 [emoji15][emoji15][emoji15]
U ubwiki Member Joined Nov 24, 2020 Posts 47 Reaction score 23 Mar 13, 2021 #3,669 bado jero nikapaki
plan z JF-Expert Member Joined Jun 10, 2019 Posts 1,395 Reaction score 1,443 Mar 30, 2021 #3,671 Heshimu watu, Sponsor hufariki
H Hilsa New Member Joined Mar 7, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Apr 4, 2021 #3,672 Dengue said: Mke wa maskini kuwadi mumewe Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Pundamilia07 JF-Expert Member Joined Oct 29, 2007 Posts 1,439 Reaction score 58 May 16, 2021 #3,673 "Kichwa kiko mbele"
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,975 Reaction score 3,133 May 16, 2021 #3,674 Wabongo Hawana imani. Dar ---ngerengere
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,975 Reaction score 3,133 May 16, 2021 #3,675 Mganga haagizi tembele
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,383 Reaction score 13,470 May 16, 2021 #3,676 Kuolewa umetaka mwenyewe..kwanini ulale na chup
Coolhigh JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,351 May 17, 2021 #3,677 "Manitu sasa kazi tu." 1982/84 Temeke-Posta via Mandela road
V VAR New Member Joined Nov 10, 2020 Posts 3 Reaction score 3 May 17, 2021 #3,678 1. Usichezee koki, utalowa! 2. Yatima hadeki
CHIEF NZELLAH Member Joined Jan 7, 2014 Posts 31 Reaction score 16 May 20, 2021 #3,679 Coolhigh said: "Manitu sasa kazi tu." 1982/84 Temeke-Posta via Mandela road Click to expand... Ikisimama panda
Coolhigh said: "Manitu sasa kazi tu." 1982/84 Temeke-Posta via Mandela road Click to expand... Ikisimama panda
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 May 21, 2021 #3,680 Akija mkanye