Ktk pitapita\kutembea mijini&vijijini nimekutana na misemo yenye kuchekesha kwnye magari, pikipiki.
1."hakuna kuforce relationship just cry and move on..Hata ambulance inaliaga ikienda".
2."uliwaza urithi mzee kapona".
3."ukichoka lala"-hii ni baada ya lori kupinduka.
4."kaa mbali sijabeba ulanzi'-lori ya mafuta.
5."yatima hadeki".
6."mpende mkeo beki 3 hana maana".
7."Test your Airbag"-nyuma ya lori kwenye ngao.
8."utatoa? hutoi?".
9."Bashite kama Bashite".
10."sawa ni baya Baba yako analo?"
ongezea ambayo ulikutanayo...