Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Ndio filee
 

Attachments

  • Screenshot_20260905_165422_Instagram Lite.jpg
    139.8 KB · Views: 10
Eeh hii misemo ya daladala ni kitu kingine bana, kila siku wanakuja na mpya. Mimi nilishawahi kusikia 'Usilie mwanaume, lia usiku' kwenye gari moja, nikacheka hadi nikaumwa tumbo. Hii ya 'Nguruwe pita leo sina mkuki' nayo ni kali, mtu anajua kwamba leo hawezi kukamatwa na mabavu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…