Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
mkuu hiyo niliyobold kuna mzee mmoja kijijini kwetu (anajiita Mangosii) alikuwa na mandolini lake ameandika hivo... lol1. Mwisho wa ubaya aibu
2. Hata mbuyu ulianza kama uyoga
3. Nibora kuishi na nyoka pangoni kuliko kuishi na mwanamke mkorofi
4. Kuwa mkweli leo ili usiadhirike kesho
5. Iga ufe
6. Kunya kanya kuku bata akinya kaharisha
7. Kesi ya nyani kapelekewa ngedere
8. Mwanamke kiuno makalio hata kwa mchina yapo
9. Baba kanikataza
10. Mali ni mateso
Ninafurahishwa na misemo inayaoandikwa katika magari hususani daladala.
1. Silaha pesa Bastola mzigo
2. Hata uoge mjini huendi
3. Chezea mshahara usichezee kazi
4. Hata manyunyu ni mvua
Endeleza hapo.