Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Abiria anaita: Konda! Konda!
Konda akajibu: sijakonda ndio nilivyo

Mara yule abiria akaamua kusema: shusha kongo!
Konda akamjibu: passport unayo?
 
Kuna moja uiliandikwa "UKIONA USISEME". Siku moja ikapata ajali, ikagota kwenye mtaro, kila aliyepita akasoma yale maneno yaliyoandikwa kwenye masaburi ya gari, akaenda zake. Lol, ilichukua siku tatu hadi kupata msaada
 
mganga haagizi tembele,,,,,,,,MBAGALA TO POSTA
ushuzi bora wa mwaka haukauki harufu.........MBAGALA TO MBANDE
shuzi limepata mjambaji......MBAGALA TO MWEMBEKIUNO
 
Sista duu: Konda umenibana, bhana!!
Konda: mbona usemi nguo zako..
Abiria: mbona siti za nyuma
Konda: kwan wanaokaa nyuma hawafiki
 
Back
Top Bottom