Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Mathayo buku mstari wa jero,
Kama mapenzi ni ela kafunge ndoa na benki,
Husichezee koki utaloa,
 
ndula la bob
my heart will go on 2000
mikasa ya mbongo
bata kapata bwana
 
Ukiona manyoya kaliwa.

Uzuri wa ndege manyoya

Kalia unase.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…