Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Hata bibi alikuwa kijana

Bakuli halichagui mboga
Beberu hachagui zizi
Remember DECI... hii ni Bodaboda sijui jamaa walimtenda!!!!
Kidogodogo cha upepo...Hii ni kwenye Bajaji
Usije Mjini
Wasiwasi ndio akili
Nyumba ya nyasi ina umeme... Hii niliiona kwenye gari moja bovu sana la kubeba mchanga kule kata ya Amani Muheza Tanga, maeneo ya Shebomeza!
 
Mwana Umulelile Mkulu Miyago.

Bayankata

Ole wao wafuatao nyayo za Simba.

Haya magari yalikua yakipiga ruti za hapahapa Dar enzi hizo magomeni kuna soko la mitumba pale pembeni ya mataa upande wa kanisa.
 
Kiporo hakihitaji moto mwingi!
Mwisho wa ubaya aibu.
 
Back
Top Bottom