SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Kuna moja nimekutana nayo....pesa huna,nguvu huna,hata mkwara basi.
Hahahaaa hiyo nilishaiona mkuu nilijua hakuna aliyotupia.
Kuna moja nimekutana nayo....pesa huna,nguvu huna,hata mkwara basi.
Kuzaliwa mjini kisato cha sita hicho!
kaka hii 'kisato' ni kweli au mi sijakupata