Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Nyingine ni
1.kosea kujenga sio kuoa
2.njunja u njunjwe
3.ucteme big G kwa karanga za kupewa.

Na nyingn nyingi hapa chuga..
 
1.ndege isiyo na rubani
2.fungua zinga limezama
3.ilitarakimura
4.kandege kadogo lakini kanaruka
5.sahani ya mama ntilie imetema
 
Hiyo niliifuma sehemu
 
Attachments

  • 1387773072565.jpg
    1387773072565.jpg
    32.4 KB · Views: 1,396
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..

utakula ulikopeleka mboga!
 
hahahahaaahahaa, mmenifurahisha sana, nimeipenda ya kama fedha ni mapenzi, kaolewe na benki" yaani hapo jamaa kamind demu anamzingua.kuna hz hapa songea "Beki kukaba; akisoma atasumbua, hapa kazi tu, unga robo, inyeshe tuheshimiane,
 
kuna jamaa alikuwa na landrover bovubovu kaandika "Komba kasoma" watu wakasema gari bovu hili kasoma nn?, basi kajipanga upya kanunua jingine zuri lkaandika "Komba kasoma tena" watu kimyaaa! Ilikuwa miaka ya themanini huko!
 
Back
Top Bottom