Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
Labda mkuu.Mkuu heshima yko kama siku 2 hivi sikuona post yko sijui nilikuwa nakosea jukwaa