Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1397198652166.jpg
 
Wasiwasi wako

Fire exit

Lea watoto

Gegedu trans

Beach boy

Masumbuko

Riziki

Lambalamba

Mbuzi kala mkeka wapambe mtalala wapi?

Chechechecheche Wameganyaga miwaya...

Bombi hii nyumbi hii

Sisimizi bichwa kameza guu la ng'ombe atii...

Kojoa kalale

Ado ado tutafika

Kama kuoga ni usafi taulo lisingechafuka
 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
 
Back
Top Bottom