Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

GENTAMYCINE, Usipata taabu, pia usituchoshe. NENDA Jukwaa la JOKES utakutana na thead isemayo MAJINA YA DALADALA BONGO ipo tangu kitambo... utacheka ufe.

Ni Vizuri Kama Huna Cha Kuchangia Basi Wewe Pita Tu Na Sikuhitaji UBWABWAJI Wako Huu Na Isitoshe Watu Wenye Akili Zao Wameshajibu Na Tunaliendeleza. Umekuja Na Hoja Ya Dala Dala ILA Mimi Nimekuja Na Hoja Ya Magari Aina Ya DalaDala Na Malori. Bahati Yako Sasa Ni Usiku Na Nataka Kulala ILA Ungenieleza Upuuzi Wako Huu Asubuhi au Mchana au Jioni UNGEYAKOGA KISAWASAWA na Ninge Ku Lui Suarez. Kila La Kheri JUHA Wewe.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Gari la kutapisha choo jina HONEY SUCKER!
Kuna moja aliandika: 'Kudua na Kugosha chedi nini'...sikujua ni nini ila lilinikaa kichwani. Siku moja nikasikia binti mmoja akiongea kikwao katamka neno chedi, alipomaliza maongezi nikamuuliza..'kudua na kugosha chedi nini'? Akajibu, bora kudua napata raha pia..
 
Kuna lingine la Iringa hadi picha yake imewahi letwa hapa JF, ni basi bovu la kama miaka ya 40 hivi lakini limeandikwa VITU LAINIIII!

Mkiu utakua umewahi kuishi kihesa wewe
 
Niliona hii kwenye guta, inachekesha sana ila ni full ukweli.

10313801_683817741679107_49899884855702977_n.jpg
 
Jana nimeona moja limeandikwa "chafya ya mpishi". Nimekumbuka "mv mapenzi", "mtama kwa watoto" na jingine "mtama kwa mashangingi"
 
Back
Top Bottom