GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE, Usipata taabu, pia usituchoshe. NENDA Jukwaa la JOKES utakutana na thead isemayo MAJINA YA DALADALA BONGO ipo tangu kitambo... utacheka ufe.
Kuna moja aliandika: 'Kudua na Kugosha chedi nini'...sikujua ni nini ila lilinikaa kichwani. Siku moja nikasikia binti mmoja akiongea kikwao katamka neno chedi, alipomaliza maongezi nikamuuliza..'kudua na kugosha chedi nini'? Akajibu, bora kudua napata raha pia..Gari la kutapisha choo jina HONEY SUCKER!
kumekucha tena kutoana akili
Kuna lingine la Iringa hadi picha yake imewahi letwa hapa JF, ni basi bovu la kama miaka ya 40 hivi lakini limeandikwa VITU LAINIIII!
Vitu laini, la ukweli.
View attachment 167402