Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Lamba joka nipo last card.
Mama mkanye mwanao.
Uchi haufunikwi na viganja.
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Kaa vizuri toa mnato huo.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1.Mkeka hauna uvungu
2.Panda juu kazibe (Riziki)
3.Cha mtu uliwa na mtu,chuma pekee uliwa na kutu
4.Baba yako analo
 
Kuna ukweli upi hapo?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1404071131.877381.jpg
    49.4 KB · Views: 549
Ikkpjuiii
Jibui


Sent from my iphone using jamii forum
 
"Tafuta pesa upate pesa,kama hauna pesa huwezi kupata pesa".....
 

Daaah nimeipenda sana hii mkulima kala mbegu ))
 
1 Husimtekenye aliyekubeba
2 Ikichacha ya wakwe
3 Biscut ya chuma
4 Wali nazi
5 Yesu ni jibu
6 Heri kupungukiwa damu kuliko pesa
7 Njia ya choo haiote nyasi
8 Heshima pesa ,shikamoo makelele
9 Hapa story tu ,kula kwenu
10 mzigo mzito mpe mnyamwezi
11 paka haishi kwa msela
12 jiji la lawama
 
Izina la Mfumwa Litogolwe--Hii ni ya kipare nadhani inamaana jina la bwana lisifiwe
Kifo cha Mende
Kamujingijingi---naomba tafsiri kwa hii nadhani ni kinyaturu
Kama kumsukuma mlevi vile

Kamjingijingi ni kirangi cha kondoa... Dodoma. Siyo kinyaturu cha ikungi.... singida. Maana yake KITU IMARA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…