Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

*mwanaume pesa ndevu urembo
*kama mapenzi ni pesa kafunge ndoa na benki
*maskini hafilisiki
*congo si kongowe
*jino mija mswaki wa nini?
*mbuzi kala mkeka wapambe mtalala wapi?
*wachawi sasa basi ukimwi unatutosha.
*wanga poeni dola mtaipata
 
Hahahaha,Duhh yaani lazima tukubali kuwa na misemo hii ni kipaji Maalum.
Yaani kama ingekuwa ni Ulaya basi wangetuuzia kadi kwa kidhungu za misemo hiyo,lakini hapa kwetu ndio hivyo burudani sie kwa sie.
 
kweli aisee, bonge la business
 
Kuna costa moja bovu sana lilikua route ya segerea/ mnaz 1...imeandikwa "shose sha ruwa" sjui maana ake ilikua ni nn, sjui kilugha gan
 
Back
Top Bottom