Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1.ukitaka kujua mume mwinzio acha mkeo. 2.Mzinga wa nyuki aupigwi busu. 3 .Mwenye busha aruki tuta
 
""Ndevu kwa mkeo heshima pesa"" mmmh inauma alafu nakumbuka ndio nilijuwa kwenye palizi za k ....w...a.....n
...g...u nilichoka
 
Ni Vizuri Kama Huna Cha Kuchangia Basi Wewe Pita Tu Na Sikuhitaji UBWABWAJI Wako Huu Na Isitoshe Watu Wenye Akili Zao Wameshajibu Na Tunaliendeleza. Umekuja Na Hoja Ya Dala Dala ILA Mimi Nimekuja Na Hoja Ya Magari Aina Ya DalaDala Na Malori. Bahati Yako Sasa Ni Usiku Na Nataka Kulala ILA Ungenieleza Upuuzi Wako Huu Asubuhi au Mchana au Jioni UNGEYAKOGA KISAWASAWA na Ninge Ku Lui Suarez. Kila La Kheri JUHA Wewe.....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Safi sana huu msemo mpya na mimi nimeshaupata, wewe mkali
 
Leteeeni vituuuuuuu.
Maana kila muda naangalia na kurejea kila msemo basi mbavu zinahama.
Hii inatakiwa ikae humuhumu ili kilamtu asubuhi aamke na tabasam kwanza then siku yake iwe nzuri labda awe mwanga.
Hii nimeikuta sehem.
"RAHA YA KUJAMBA UWE PEKE YAKO"
 
Back
Top Bottom