Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Gar bovu likipita barabaran huo mlio tu unakaa mbal na gari lenyewe ni la taka,,,ila nyuma limeandikwa BABA YAKO ANALO!!!!mpaka leo nikikumbuka huwa nafurah!!!!!!!
 
Natumai Nyote Hamjambo Huku Tukizidi Kuliendeleza LIBENEKE Letu.
Jamani Mimi Nimejikuta Nikipenda Sana Kusoma Yale Maneno Ambayo Huandikwa ktk Eiether Mabasi Yetu Haya ( Dala Dala ) Or ktk Malori Ya Mchanga Pamoja Na Magari Ya Kubeba Taka.

Kwa Mfano Leo Nimekutana Na Magari Ya Aina Hiyo Mawili Moja Likiwa Dala Dala ( MKANGAFU ) Nikimaanisha Yale Ma DCM Likiwa Limeandikwa " KAMA SHIDA INGEKUWA SUMU WOTE TUNGEKUFA " Na Gari La Taka Nalo Likiwa Limeandikwa " MGANGA HAOMBI DAGAA " Siyo Siri Nilijikuta Nikivunja Mbavu Na Kujiuliza Ni Wapi Watu Hutoa Maneno Hayo Kwani Japo Yanachekesha Na Hata Kustaajabisha Lakini Yanachoma Sana Hadi Kumoyo na Hugusa Mno Hisia Za Mtu.

Hebu Kama Na Wewe Unayajua Mengine Hebu Tupia Hapa Nizidi Kuongeza Siku Za Kuishi Kwa Kuvunja Mbavu Lakini Pia Nipate Ujumbe................... Karibuni Wadau na Wakuu Wangu Wana JF.

Kama gereza ni chuo mpeleke mwanao
 
1544372_749437685102140_4082170201100929254_n.jpg
 
Back
Top Bottom