6. Inalea wengiJamani hapa bongo utakutana
na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo
chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
i like jf nimecheka sana.. Ngoja nirudi kumtumikia mwajiri tena,.....
Kuna moja nimekutana nayo....pesa huna,nguvu huna,hata mkwara basi.
Utamaliza Kuni kuchemsha Mawe