Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

ImageUploadedByJamiiForums1420590367.300954.jpgcheck hiyo
 
Jamani hapa bongo utakutana
na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo
chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
6. Inalea wengi
 
Back
Top Bottom