Zee la Nyeti
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 697
- 461
unataka mwenye prado wakati baba yako ana baiskeli
kwanini usiwe mpole kama mama yako
Hahahahaaaaaaa....msg sent and delivered.
Duh! Haya maandishi yapo kwenye daladala gani mkuu
Daladala ya kivukoni - darajani zanzibar
kweli kabisa.-
-kunenepa wakati nakudai ni ishara ya dharau
-
Linaenda Kidamali au Nzi?