Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

unataka mwenye prado wakati baba yako ana baiskeli
kwanini usiwe mpole kama mama yako

Hahahahaaaaaaa....msg sent and delivered.
 

Attachments

  • 1422790726098.jpg
    1422790726098.jpg
    11.2 KB · Views: 2,266
Kuna gari la kutoa makontena bandarini lenyewe bovuu alafu ata endiketa halina ila limeandikwa "HAYAKUHUSU!!…"
 
Kuna basi linafanya safari zake kati ya Dar na Ifakara limeandikwa "HATA UKITANGULIA KUFIKA WENYEJI HAWAKUTAMBUI"
 
Back
Top Bottom