Daladala zinaposimama kwenye foleni huwa zimeandikwa baadhi ya misemo kama hii :
1.Yatima hadeki.
2.Utamu wa chips mimba
3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni.
4.Kobe hapimwi joto
5.Hâta Uwe na heshima vipi huwezi kumpokea Askari bunduki.
6.Pombe pombe tu kunywea bar mbwembwe
7.Kama mapenzi pesa kaolewe na banki.
8.njia ya chooni haioti nyasi.
9.Mavi hayana miba lakini ukikanyaga lazima uchechemee.
10.Silaha pesa bastola mzigo.
11.Hata bibi alikuwa binti.
12.Likizo ya maskini ugonjwa.
13.Mchana nzi usiku mbu.
14.Paka haishi kwa msela.
15.Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa.
16.Hata barabara ina matuta lakini huwezi panda viazi.
17.Usimshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake.
18.Supermarket hawauzi mkaa.
19.Mtimbwi hauna saitimira.
20.
21.
22.
23.
24.
25.
26.
Na misemo mingine mingi jaziliza....
1. Nyuki akumbatiwi
2. Unaita mkangafuu baba ako analo?
3. Usijali sura bora safari
4. Bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa
4. Cchaja ya kobe
5. Sumu aionjwi
6. adui yako muombee njaa
7. Kama elimu ni ufunguo kitasa kiko wapi?
8. Unataka mume mwenye gari wewe dereva?
9. Ndoto za masikini kutaka kuendesha ndege
10. Mwenye dada/kaka hakosi shemeji
nk
n.k
n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.