Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Kinyago nikuchonge mwenyewe halafu unitishe, shenzi nitaku kata kata kuni
 
urefu na ufupi ni juhudi za Mola...vitambi na Mimba ni juhudi zetu wenyewe
 
Hahahaaaa... Hadi kwenye baiskeli wataanza kuweka
 

Attachments

  • 1432017922678.jpg
    1432017922678.jpg
    51.8 KB · Views: 879
Back
Top Bottom